Oscar Sudi mashakani baada ya baraza la KNEC kusema kwamba cheti chake cha KCSE ni bandia#Trending #KTNNews #KTNPrime
Oscar Sudi mashakani baada ya baraza la KNEC kusema kwamba cheti chake cha KCSE ni bandia

Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
Follow us on Twitter:

Like us on Facebook:

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live
Watch KTN News
Follow us on
Like us on

28 comments

 1. Kweli mwisho wa ubaya ni AIBU…i saw his video saying Gideon Moi hana certificates his reasons were very lame ati how can you have a degree kwa shule yenu 🤣🤣🤣
  Itakuwa makosa sanaaa ikiwa sudi hatopewa mashtaka na kesi hii kutochukuliwa hatua za kisheria mamia ya wakenya wamesoma kwa shida wana vyeti halali wanakosa ajira wanaishia mitaani alafu tume ya uchaguzi imechukua miaka 9 kujua mbunge mzima ana vyeti bandia wakati anapokea mshahara na marupurupu nyingi arudishe pesa zote alizolipwa na asimamishwe kazi mara moja Governor mandago atafute mtu mwenye sifa ya kuwa mbunge pale atumikie eneo bunge hiyo mpaka itakapofika uchaguzi mkuu

 2. Shida ya wanasiasa ya wa Rift valley midomo mikubwa sasa huyu sudi angekua kimya na kufanyia watu wa kwao kazi haya hayangempata

 3. Ha haaa jamani kama sina sina haina haja kujipandisha bei by the way bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi ha haaa

 4. He is suffering from the disease called( I.T.D)Intellectual transmitted disease injected by wheelbarrow party leader

 5. Members of UDA were told any legal services is free.. .let those shameless lawyers go for sudi shameful case after caught with fake academic papers..

 6. Mwenye alikutuma utusi mama ya president alikudanganya..Kumbe what comes from one's mouth is directly equivalent to his academic background..Nimeelewa sasa!

 7. The disagreement between the president and his deputy is a blessing to the country because kenyans stand to know very many things which could not have been the case if the two remained together.

 8. IEBC should be held culpable for allowing Sudi to vie for the sit without verifying his papers. Sudi should now be send to Jail because of his criminal act of forgery.

 9. There was Echesa. Now Sud with fake papers. Who assisted them to do these crimes? Kenyans should see the pattern forming silently

 10. Sudi Should be punished harshly to set an example for other corrupt leaders. He should refund all the salaries paid to him out of tax payers money plus accrued interest for all the years he has fraudulently served kenyans using fake certificates.

 11. Mbona wooote Wanao mpa ruto mkono ruto wanapewa mashtaka ya urongo tu so kuna taasisi za kifisadi mbona mwanzo wakampitisha hii Kenya
  Ni hovyo media msitumike style hii kutangaza urongo

 12. Hustler…this is the biggest reason they should remove the university or college requirements when Hustler get to power… a county that can't guarantee education to all its citizens should not hinder others from leadership… because greatest leaders and movers of this world 🌎 were never educated…billgate was a drop out … he can't be an mp in Kenya but can run a trillion worth business. Solomon had wisdom.. if a person without form 4 can lead his people for two terms and they elect him twice that is testament enough Leadership is from birth. Simple.

 13. one yr back this man said matiangi is kichwa kubwa yenye imenjaa maji ! so ile maji iko ndani yake ndio uwa ina overflow then kuaza matusi

 14. Nilijua hajasoma and it is a shame if people in Kenya wanaweza endelea fanya mambo hii nchi na vyeti bandia. Kweli hi nchi ni finished na ufisadi

Leave a comment

Your email address will not be published.